With salams and jambo from IZAAS
Dr. Nice Rutabasibwa(Neurosurgeon) from Muhimbili Hospital Dar es salam, and Dr. Mazima( Chief Surgeon)at Mugana Hospital joined hands to help the man with the BIG PILLOW
On the mobile phone with IZAAS administration the man with the BIG PILLOW SAID............I HAVE CHANGED my mind, i don't want to be operated, please help me to go back home to my family.
But at the end he lost his pillow, kindly read below.
Mubaarak Abdullah.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sidhani kama tunahitaji kujua hawa kama ni madaktari bingwa. Kitendo cha kuweka picha humu kwenye blog haiendani na miiko ya madaktari.

    Hata kama ni kuomba misaada kuna njia sahii za kufanya hivyo.

    Hii naipeleka kwa human right activists. Hawa madaktari sijui kama wanajua wanalofanya hata kama wanataka kujitangaza.

    Next time Michuzi please don't post these photos la sivyo na wewe tutakushughulikia.

    ReplyDelete
  2. Utamshughulikia nani wewe? acha mikwala mbuzi.
    Hakuna tatizo lolote lile kuweka picha za hawa wagonjwa, PROVIDED THAT, wagonjwa waliombwa na wakakubali picha zao zitumike kwa jinsi hii, they must have consented to this. Kitu amacho mi-stew anatakiwa afanye ni kutuonya tu ya kwamba picha zinaweza kusumbua fikra za baadhi ya watu, period.
    Dr Gangwe.

    ReplyDelete
  3. dah,ahasante sana gangwe.hilo jina lako tu nimelikubali.safi sana

    ReplyDelete
  4. Dr Gangwe, how can you rule out if that was not a coerced consent? Nakubaliana na mdau wa kwanza, hii ni kumdharirisha mgonjwa.

    Nafikiri madaktari wetu hawaelewi nini maana ya informed consent!!!

    This is bad

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...