Hellow....sikiliza wimbo mpya wa Nash designer unakwenda kwa jina NDELE umetokea katika studio ya surround sound studio. Ndele ni wimbo wa kitofauti wenye maadhi ya kiafrika ....ambao umetengenezwa na kubuniwa na nash designer aka designer baby. 
Ukitaka kujua maana nzima ya ndele sikiliza na utajua nini kilichozungumziwa ,muziki safi ,style nzuri ,Production iliyotulia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tyuni poa, very East African mwambao. Nimeipenda hii!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...