Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda , akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena wapili kushoto ni Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla, Mkurugenzi  Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Midana na Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar (kulia)
 Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Midana wapili kutoka (kulia) akisistiza jambo kwa wandishi wa habari jijini Dar es Salaam, juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena. Wapili kutoka kulia ni Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla, ni Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmaiali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda , Afisa Uhusiano wa NSSF Anna Nguo, Meneja wa  Kampuni ya Dun &Bradstreet Credit Bureua ( T) LTD Adebowele Atobatele (Kushoto) kulia ni Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar .
 Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar (kulia) akiongea kwa waandishi wa habari hawapo pichani jijini Dar es Salaam juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena. Wapili kushlia ni Mkurugenzi  Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Midana. Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla, ni Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmaiali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda , Afisa Uhusiano wa NSSF Anna Nguo, Meneja wa  Kampuni ya Dun &Bradstreet Credit Bureua ( T) LTD Adebowele Atobatele (Kushoto)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...