Uko macho???
Ingia www.vijimamboradio.com twende pamoja
Dj Luke Joe kwenye mashine na Mubelwa Bandio kwenye mic

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio twawapata vema sauti ''digital stereo sound'' sijawahi sikia redio online ya Watanzania yenye saound quality kama www.vijimamboradio.com.

    Kweli ujuzi hauzeeki hata Ankali atakubali, maana DJ Luke Joe miaka zaidi ya 30 ndani ya gemu.

    Mdau
    Jijini London, UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...