Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu (kulia) awasilisha Hati ya Utambulisho kwa Rais wa Lithuania,Mh.Dalia Grybauskaitė kwenye ikulu ya nchi hiyo leo.
Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu akiwa pamoja na Rais wa Lithuania,Mh.Dalia Grybauskaitė mara baada ya kuwasilisha hati ya utambulisho wake,kwenye ikulu ya nchi hiyo leo.
Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu awasilisha Hati ya Utambulisho kwa Rais wa Latvia,Andris Bērziņš kwenye ikulu ya nchi hiyo.
Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu akiwa pamoja na Rais wa Latvia,Andris Bērziņš mara baada ya kuwasilisha hati ya utambulisho wake,kwenye ikulu ya nchi hiyo.
Umependezaa! Wakilisha vema mama
ReplyDelete