Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano toka Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra
Masoud akitoa somo kwa Maafisa Mawasiliano mara baada ya Mafunzo kutoka
kwa Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell leo Mjini Mtwara
Afisa Mawasiliano wa Ofisi ya Rais Sekretariat ya Ajira katika Utumishi wa
Umma Bw. Kassim Nyaki akitoa somo kwa Maafisa Mawasiliano mara baada ya
Mafunzo kutoka kwa Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell leo Mjini
Mtwara
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene
akimshukuru Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell mara baada ya
kumaliza mafunzo yake ya Siku mbili kwa Maafisa Mawasiliano wa Serikali
wakati wa kikao kazi cha Maafisa Ha oleo Mjini Mtwara.Picha na
Hassan Silayo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...