Home
Unlabelled
BBC DIRA YA DUNIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I am just curious, Kwa nini BBC Swahili itangazwe London na sio Dar kunakotoka lugha ya Kiswahili? napenda kujua kwa anayefahamu
ReplyDeleteBBC ni kampuni ya Tanzania hadi ije itangazie Tanzania? mbona Al jazeera wanatumia English lakini hawako London wala USA kunakotoka English?
ReplyDeleteTumia simple knowledge, kiswahili ni lugha ya 3 kuzungumzwa na watu wengi duniani pia dunia imekua kijiji ni kawaida siku hizi kumuona mchina akiuza karanga k/koo, ilo swali lako ungeuliza kipindi cha ukoloni lingekua na mantiki but kwa sasa utaonekana Racist (mbaguzi)
ReplyDeleteBBC ni shirika la wapi?! We mdau hapo juu jibu!
ReplyDeleteVp unaweza pata live streaming yA dira yA dunia??
ReplyDeleteKwa sababu ni shirika la habari la Uingereza lenye makao yake London,na BBC swahili ni idara tu kati ya nyigi ilizonazo...Haiwezi ikawa hapo bongo kwa wanawalipa hao watangaji wa kiswahili ni BBC sio Tanzania...lugha sio kigezo cha kuifanya itangaziwe dar..BBC ni mali ya waingereza sio mali ya waswahili.
ReplyDelete