Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akizindua mpango wa kuwainua vijana wenye vipaji vya sanaa mbalimbali ujulikanao kama Kinondoni Talent Search. Kulia ni Mwanamuziki, Peter Msechu na Emanuel Mathias ambaye ni mchekeshaji maarufu 'MC Pilipili ambao watasaidia kuratibu jinsi ya kuwatambua vijana hao katika wilaya hiyo.
DC Makonda akiwa amekaa na wanakamati watakaoshughulikia mpango huo. Kutoka kulia ni mwanamuziki Peter Msechu, Mchekeshaji maarufu, Emanuel Mathias 'MC Pili pili', Ofisa Uhusiano wa Manispaa ya Kinondoni, Sebastian Mhowera na Ofisa Utamaduni wa Wilaya hiyo, Jumanne Mrimi.
Mwanamuziki, Peter Msechu (kulia), akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni DC Makonda.
BOFYA HAPA HAPA KWA HABARI KAMILI
BOFYA HAPA HAPA KWA HABARI KAMILI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...