Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, akiwahutubia wanafunzi wenzake waliosoma katika shule ya Ilboru ya Arusha katika chakula cha usiku kilichoandaliwa rasmi kuchangia ukarabati wa majengo mwa wiki jijini Dar es Salaam. .
Mmoja wa wahitimu wa shule hiyo akitoa mchango wake nini kifanyike ili ukarabati wa nguvu ufanyike shuleni hapo.
Wanajumuiya ya wanafunzi waliosoma katika shule ya Ilboru wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alipokuwa akiwahutubia katika chakula cha hisani cha kuchangia ukarabati majengo ya shule hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Good job!
    Please let us know how we can be part of this.

    Ex-Ilboru/Diaspora

    ReplyDelete
  2. visit http://www.ilborualumni.or.tz

    ReplyDelete
  3. Hili swaa lakukarabati majengo ya shule kwa kutumia nguvu za waliosoma shule hizo na wafadhili wengine naliunga mkono asilimia 100% pale tunapoweza kusukuma gurudume la maendeleo mbele tuchange ili twende mbele..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...