Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2015

    Waliotumia pesa ya walipa kodi wakaweka hicho kibao inabidi watujuze kina maana gani?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2015

    We unayeuliza swali inaonekana umetoka TZ miaka mingi sana! Wecome back!! Siku hizi hamna kufuata sheria na kanuni katika nchi hii! Tunavunja kila taratibu tulizojiwekea, sasa inabidi mambo yaendeshwe kwa migomo!! Ustaarabu wa matumizi ya barabara ndio umetushinda kabisa TZ!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2015

    walipo park ni sahihi kwakuwa ni nyuma ya kibao chenye maelekezo. ingekuwa kosa wangepaki upande wa mbele wa kibao hahahahahahah

    ReplyDelete
  4. Mbele ya jengo la Sayansi Kijitonyama Aka Maji Machachu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 06, 2015

    hapo kibao kinaonyesha tofauti lori na hayo ni matanker

    ReplyDelete
  6. Hapo mbona ni poa tu, hakuna aliyevunja sheria hapo kama una elimu ya udereva!
    Watu wanapenda kuisema vibaya tu nchi yetu kwa manufaa yao na roho mbaya zao.

    Mr Mhoja, Sweden

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...