Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2015

    Kukumbushana ni wajibu, kwanza nianze na msemo wa kiswahili usemao ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji....ni sauzi wala si mbali, wiki kadhaa wala si mbali.....kama kuna uwezekano wa kudhibiti hao watu wasiingie kwa wingi mfanye kila liwezekanalo vinginevyo nasi tutakuja semwa kama wasauzi baadae pindi wananchi watakapo anza kuthibiti wenyewe.....hao watu ni sumu popote ulimwenguni....sisi tulio nje ndio tunawajua nje ndani hao watu.Wakikili makosa warudisheni kwao kisha wauieni kuingia nchi kama wazungu wanavyofanya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...