Wasanii wawili wanaotamba Bongo hivi sasa Shilole na Nuh Mziwanda wametua leo nchini Ubelgiji tayari kwa show yao ya nguvu siku ya Jumamosi nchini Ubelgiji.Wakiwa na nyuso za furaha hotelini walipofikia wameahidi kufanya bonge la  show kwa pamoja.Wameomba wapenzi wao wajitokeze kwa wingi kuja kushuhudia burudani ya uhakika toka Bongo.
Nuh Mziwanda kushoto akiwa na Shilole a.k.a Shishi Baby wakiwa tayari kuwapagawisha wapenzi wao jumamosi hii hapo Antwerpen. Picha na Maganga One Blog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2015

    nchi za watu mdogo wangu, usiegeshe mguu wako kwenye ukuta. angalia hali ya huo ukuta ilivyo. unaweza kulitilia maanani hili au kulipuuza.

    asante.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2015

    Acha kukanyaga ukuta kijana si ustaarabu

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2015

    CCTV kila kona, kama ameuchafua basi watamletea bili ya kusafisha huo ukuta, basi hapo ndo atapagawa na kutapatapa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2015

    Hata Michael jackson mwenyewe sijui kama angefanya hivyo ulivyofanya,hivi ni vitu basic kabisa unaweza kupoteza deal kwa sababu ya mambo ya kipuuuzi kama haya watu wanaojiwa wanatafuna big G unaongeleshwa unajifanya bussy na simu....tafadhari jaman

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 07, 2015

    wapeni watu/vijana orientation kabla hawajasafiri.Orientation husaidia sana sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...