Dates: May 9 – 10, 2015 (Saturday & Sunday)
Location: 591 N. Main Street Alpharetta GA 30009
Fees: $70 Money Order (Passport Fees & FedEx return)
Service Cost: $30/person.
All Tanzanians living GA, AL, SC, NC, TN, FL & nearby states are welcome.
For more information and requirements visit: http://tanzaniaembassy-us.org/?page_id=79

RSVP to guarantee spot: http://bit.ly/1JMQ5q1

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2015

    hahahahahaha zamani watu wa USA walikua wakituna eti nna mkoba wa kinyamwezi...hahahaha leo hii mnatangaziwa renewal ya adamu na hawa ndani ya unyamwezini na kuna wengine nahisi wanajuta usawa huu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2015

    hatujuti kaka au dada kwa sababu kama una muda wa kuchezea basi kubaliana na utaratibu huu wa kuongeza muda pasi yako ya Tanzania halafu subiri utakaa kama mwaka mmoja unasubiri mpya,ukipiga simu kuulizia hawapokei wanakuwekea wimbo wa kihindi kama si wa kimasai usikilize kwanza kwa saa moja na kitu hivi kwa kweli shida za urasimu wana safiri nazo waungwana hawa wa ubalozini sehemu zote utakazo kwenda nje hali ni moja.

    mdau.
    Alaska,USA.

    ReplyDelete
  3. Je, wa-Tanzania wanaoishi majimbo mengine wafanyeje? Hilo ni suali moja.

    Suali la pili: Ubalozi umetafakari gharama ya watu kusafiri hadi Washington DC, wakati wengine wana familia? Hiyo gharama wataiweza? Kwa nini afisa wa ubalozi asiende sehemu mbali mbali kutoa huduma?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...