Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba akimkabidhi Mkuu wa Idara ya Uzazi na Magonjwa ya akina
mama wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dokta Mathew Kallaga
(aliyepokea kwa niaba ya uongozi) vifaa mbali mbali vyenye thamani ya
Tshs. Milioni saba alivyotoa kwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini
Dar es Salaam ikiwa ni maadhimisho ya miaka mitatu ya kipindi hicho.
Kila mwaka Kipindi cha Mboni huwa kinaadhimisha kwa kutoa msaada sehemu
mbali mbali ikiwa ni mpango wake wa kurudisha fadhira kwa jamii ambapo
mwaka huu aliungwa mkono na PSPF, Nakiete Pharmacy, Fadhaget Sanitarium
Clinic pamoja Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.
Mkurugenzi
wa Mboni Show, Mboni Masimba akipongezwa meneja wa Jengo la Wazazi,
Sister Amina Mwakuluzo kwa moyo aliyouonyesha. Kila mwaka Kipindi cha
Mboni huwa kinaadhimisha kwa kutoa msaada sehemu mbali mbali ikiwa ni
mpango wake wa kurudisha fadhira kwa jamii ambapo mwaka huu aliungwa
mkono na PSPF, Nakiete Pharmacy, Fadhaget Sanitarium Clinic pamoja Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.
Mkurugenzi
wa Mboni Show, Mboni Masimba akitoa zawadi mbali mbali kwa akinamama
aliyowakuta katika wodi ya wazazi. Kipindi cha Mboni huwa kinaadhimisha
kwa kutoa msaada sehemu mbali mbali ikiwa ni mpango wake wa kurudisha
fadhira kwa jamii ambapo mwaka huu aliungwa mkono na PSPF, Nakiete
Pharmacy, Fadhaget Sanitarium Clinic pamoja Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,
Paul Makonda.
Mkurugenzi
wa Mboni Show, Mboni Masimba akimkabidhi nguo kwa mama aliyejifungua
mtoto wa kike. Pembeni anayeshikilia nguo ni Mkurugenzi wa Fadhaget
Sanitarium Clinic, Dokta Fadhili Emily.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...