Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu, akizungumza wakati wa mahafali ya 22 ya Chuo cha Utumishi Tanzania (TPSC) na ya kwanza kwa tawi la Mbeya hivi karibuni Jijini Mbeya.
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu akimtunuku mmoja wa wahitimu wa mafahali  ya 22 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) na ya kwanza  kwa tawi la Mbeya.

Sehemu ya wahitimu wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Tawi la Mbeya wakiwa katika mahafali ya 22 ya Chuo hicho na ya kwanza kwa tawi la Mbeya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...