SIMU.TV: Viongozi wa CCM Mwanza wametakiwa kuhakikisha kuwa wanajenga ofisi katika ngazi zote za uongozi mkoani humo; https://youtu.be/NpTr_r90wgw
SIMU.TV: Tarafa ya Idodi mkoani Iringa ipo hatarini kukumbwa na mafuriko kufuatia mkondo wa maji wa mto Mapogoro kuhama; https://youtu.be/AfSbtI7MOy0
SIMU.TV: Mkuu wa wilaya Manyara alazimika kupiga marufuku ulaji wa nyama machinjoni kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kimeta;https://youtu.be/NKxuqyprRFQ
SIMU.TV: Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi jaji Lubuva amesema uchaguzi wa 2015 ulikuwa na mafanikio makubwa ikilinganishwa na miaka ya nyuma;https://youtu.be/wuSaqbH_dGo
SIMU.TV: Muajiri ampa kipigo mfanyakazi wa ndani na kumsababishia majeraha yaliopelekea mfanyakazi huyo kulazwa hospitali; https://youtu.be/ZV_G2Ce72o8
SIMU.TV: Ama kweli kufa kufaa, ucheleweshwaji wa mradi wa mabasi ya haraka Dar es salaam waleta shangwe kwa wafanyabiashara jijini; https://youtu.be/1X3qeYZVsWY
SIMU.TV: Askari watatu wafariki na watatu wengine kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisindikizia msafara wa viongozi kupinduka;https://youtu.be/wHZSv8SydlI
SIMU.TV: Shirikisho la ngumi nchini limewaomba wadau kujitokeza kusaidia mashindano ya klabu bingwa taifa yaliyoanza leo jijini Dar es Salaam;https://youtu.be/2fb9c5LOCzk
SIMU.TV: Waziri mkuu Mh.Kassim Majaliwa amewataka waislamu pamoja na wananchi wote kusaidiana na Rais Magufuli katika kupambana na rushwa:https://youtu.be/eor6Jehuz_I
SIMU.TV: Zaidi ya kaya 60 mkoani Lindi zimeathiriwa na mvua kubwa iliyoambatana na mafuriko na kusababisha athari katika kaya hizo: https://youtu.be/-UiU7YGagKg
SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro amezindua kampeni ya upandaji miti wilayani Rombo ili kuepuka uharibifu wa mazingira: https://youtu.be/CQZML8BtnFI
SIMU.TV: Wakazi wa Tabata kisiwani wameilalamikia serikali kutokana na ubovu wa barabara ambao umesababishwa na ujenzi wa viwanda:https://youtu.be/Gem44OvGwqk
SIMU.TV: Wazazi nchini wameombwa kuwaruhusu watoto wao kushiriki katika mchezo wa tenisi ili kukuza vipaji vyao: https://youtu.be/527a3HxBQ5A
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...