Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kaka naomba urekebishe taarifa hii imeandikwa tarehe 02 March, 2016 ambayo bado hatujafikia

    ReplyDelete
  2. Ahsante kwa usikivu, nimeona marekebisho

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Tanzania, Magufuli kaza buti.

    Tanzanialinks.com

    ReplyDelete
  4. HONGERENI MRADI MZURI SANA, LAKINI KUNA MAENEO MENGI HAPA DSM HAYAPATI HUDUMA HII INAKUWAJE? MBEZI YA BARABARA YA MOROGORO MAENEO YA NJIA PANDA YA MAKABE/GOBA NA KWINGINEKO HAKUNA MAJI NA WENYE BIASHARA YA KUUZA MAJI KWA MAGARI YAO WANAFURAHI TU, HUKU NDOO YA LITA 20 NI SH 500/= SI KILA MWANANCHI ANA UWEZO. MVUA NAZO SI KILA SIKU KWAMBA TUTAKINGA MAJI YA MVUA. TUFIKIRIENI MAJI YANATOKA RUVU YANAPELEKWA MJINI YANAPITA KWETU SISI TUNAPATA SHIDA.

    ReplyDelete
  5. Kwa sisi tunaoishi kinyerezi ni lini tutapata haya maji, kwani hata dalili ya kutandazwa mabomba hakuna

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...