Kutoka Shoto ni Mshindi wa Pili wa Shindano la Miss Mbeya Priscal Mengi, Mshindi wa Shindano hilo la Miss Mbeya Mwaka 2016 anaetambulika kwa Jina la Eunice John Robert katikati Sambamba na Mshindi wa Tatu wa shindano hiolo la Miss Mbeya kwa Mwaka 2016 Nancy Matta, Shindano hilo la Miss Mbeya kwa Mwaka huu lilifanyika Ijumaa ya Tarehe 20-05-2016 Liliandaliwa na Redio Dream FM 91.3 Mbeya kwa kushilikiana na Michuzi Blog, Pepsi, Ufunuo Clinic, Access Computer Limited, Viva Night Club, Milo Group Limited, New karim Hardware, City Pub, Paradise Inn Hotel, Club K-Mo, Ace Classic Wear, Ally Rich Sanaa Art, New Mama Land Pub, Beaco Resort na Manyanya Inn Hotel and Tours.Mwanamuziki  nyota wa Muziki wa Kizazi Kipya anayetamba kwa Nyimbo kadhaa kutoka WCB  "Wasafi"  Harmonize akipagawisha mashabiki wake wa Jiji la Mbeya kwa kutoa Burudani.Baadhi ya Washiriki wa Miss Mbeya kwa Mwaka 2016 wakifanya yao Jukwaani...PICHA ZOTE NA ECKY THE BEST WA MMG MBEYA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...