Bodi ya wadhamini wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu  wa  GEPF inapenda kuwatangazia wadau wake wote kuwa Mkutano Mkuu wa Saba wa Wadau (Annual General Meeting) utafanyika tar 23 -24 Juni 2016 katika ukumbi wa Benjamin Mkapa mjini Mbeya.

Lengo kuu la mkutano huu ni kutoa taarifa za utendaji kwa mwaka 2015/2016 pamoja na kupokea  mapendekezo mbalimbali kutoka kwa wadau ili kuboresha zaidi huduma kwa wanachama na wadau wa mfuko.  Kauli mbiu ya mkutano huu ni “HIFADHI YA JAMII KWA KILA KAYA”

Kwa taarifa zaidi wasiliana na Mkurugenzi Mkuu, Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF, S.L.P 11492 Dar es Salaam. Simu: +255 22 2927668/9

Wote Mnakaribishwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...