Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2016

    Ni kama vile huyu mtoto anasema''baba nisaidie nipo na mdogo wangu hatujala toka asubuhi''

    ReplyDelete
  2. Kwa makosa yake amesababisha ajari barabarani, na yeye hana bima(insurance).

    ReplyDelete
  3. Hii inatukumbusha kuelewa maana ya kuwa na familia yaani siyo kuleta watoto duniani kama hajui majukumu ya malezi

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 24, 2016

    Tabia mbaya ya wazazi kuwatuma watoto wao kuomba, wakiwa na imani mtu kuwa na gari una uwezo wa kuwapatia hela.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 24, 2016

    hao ni omba omba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...