Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu akifika  katika mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam mchana huu. Ikiwa jana Mbunge huyo alihojiwa na Jeshi la Polisi katika kituo cha Polisi cha Kanda maalumu ya Dar es Salaam na kutupwa Rumande mara baada ya kukosa dhamana.

 Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu apandishwa kizimbani mchana huu  katika mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.‪
  Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu akionesha alama ya chama cha Democrasia na Maendeleo akiwa ndani ya Mahakama  ya hakimu mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam muda huu.‪

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2016

    Chonde chonde wabunge mwende kwenye majimbo yenu mliko chaguliwa mkatatue matatizo ya wananchi na hatupendi na wala hatutaki kuona rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli anaingiliwa kwenye majukumu yake achaneni nae kabisa ili apige kazi watanzania tuko nyuma yake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...