Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2016

    Hongereni sana kwa taarifa hii this is a good way of marketing our Organization keep it up

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2016


    CONGRATULATION DCM HIKI NI CHUO PEKEE KILICHOWAKOMBOA WANYONGE KUTOKANA NA MFUMO WAKE WA UENDESHAJI KOZI MBALIMBALI

    ReplyDelete
  3. Great! we should continue this marketing drive to better represent The Open University of Tanzania, which is continuingly rendering access to quality education to individuals from all parts of Tanzania and abroad.

    I reckon we should also take part in NANE NANE celebrations in Mwanza to further generate awareness especially in the lake zone.

    From Mwanza.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 01, 2016


    Ninatarajia kujiunga na degree ya ICT hapo Open University of Tanzania. Napenda kusoma hapo kwasababu mode of delivery ya masomo ni nzuri sana, inamruhusu mwanafunzi kusoma huku akiwa anaendelea na kazi zake. Pia ada ni ndogo na inachukua wanafunzi wa umri wowote.

    Nawashauri wenzangu tukasome masomo ya ICT tuongeze ujuzi. Department ya ICT inatoa degree mbili, BSc ICT na BSc Data Management.

    ReplyDelete
    Replies
    1. AnonymousJuly 02, 2016

      Karibu sana. BSc ICT na BSc Data Management tunafundisha kwa mode ya ODL pamoja na face to face sessions. Tunatoa lectures mikoa ya Dar Es Salaam, Mbeya, Mwanza na Dodoma. Wasiliana na mkuu wa idara kwa namba 0712 840 505 upate taarifa zaidi. Karibu Open University of Tanzania.

      Delete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...