Wananchi wa Jimbo la Ukonga wakipata Futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo hilo, Mwita Waitara (Chadema), nyumbani kwake Kivule Dar es Salaam juzi.
Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(Chadema), akizungumza katika Futari aliyowaandalia wananchi wa jimbo hilo nyumbani kwake Kivule Dar es Salaam juzi.
Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(Chadema), akimkaribisha Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa ili aweze kuzungumza na wananchi wa jimbo hilo katika Futari iliyowaandalia nyumbani kwake Kivule Dar es Salaam juzi.
Waziri Mkuu wa zamani na Mjumbe wa Kamatia Kuu ya Chadema, Edward Lowassa, akizungumza katika Futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema) kwa wananchi wa jimbo hilo nyumbani kwake Kivule Dar es Salaam juzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. naamini hili linafanyika kwa thawabu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2016

    Beautiful mbunge!!
    Hiyo ndo njia mwafaka ya kutumikia nafasi ya ubunge badala ya kufanya upuuzi wa matusi na vurugu bungeni. Ukiwathamini wananchi utakuwa umefika fadhila kwa kukupigia kura. Ukifanya uzumbukuku bungeni wewe utakuwa na deni ambalo malipo yake yanaweza kuwa kuanguka katika uchaguzi na kukiporomosha chama chako katika chati ya umaarufu wa kisiasa.
    I wapi NCCR mageuzi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...