Kameramani wa Globu ya Jamii katika mizunguko yake ya hapa na pale huko Mjini Sumbawanga Mkoani Rukwa alifanikiwa kukunasia baadhi ya Taswira Mbalimbali za Mji wa Sumbawanga kama ambavyo kipita Shoto hicho Pichani ambacho ndio kipita Shoto kinacho utambulisha Mji wa Sumbawanga Kionekanavyo katika Taswira hapo juu.
Baadhi ya wakazi wa Mji wa Sumbawanga wakikata Mitaa huku wakiwa wamebeba Kuku kwa kupokezana.
Hii ni moja ya Barabara iendayo moja kwa moja mpaka Ofisi za Mkoa.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG NYANDA ZA JUU KUSINI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2016

    Taswira nzuri, round about maua yamekatwa vizuri, mitaro, lami pana, street lights na bill boards tunaziona endelea kuboresha taswira za miji yetu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2016

    Sumbawanga nilikua nakusikia tu lakini leo nimepata bahati ya kupaona japo kwa picha. Ni mji mzuri na mazingira mazuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...