Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Willium Lukuvi wakati  akifungua mkutano wa Kujadili Matatizo na Ufumbuzi wa Utekelezaji wa Sheria ya Umiliki wa Sehemu za Jengo (Unit Tittle Act) iliyofanyika na wadau wa ardhi kutoka taasisi na makapuni mbali mbali ya ujenzi katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT).
Baadhi ya wawakilishi wa taasisi na makapuni mbali mbali ya ujenzi yakiwa katika mkutano huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2016

    Hii itasaidia sana wale wanaotaka kununua units katika jengo, apartment au business suites au floor ili waweze kuwa na reference ya hati au kuitumia hiyo kutafutia pesa za kununua. Endeleza kazi nzuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...