Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Azam Marine Hotel Abubakar Aziz Salim wakati alipotembelea ujenzi wa Hoteli ya Kisasa ya Azame marine iliyopo Mtoni Unguja leo akiwa katika ziara maalum (wa tatu kushoto) Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa, baada ya kumaliza ziara yake kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za kisasa huko Fumba Wilaya ya Magharibi na Ujenzi wa Hoteli ya Azam Marine iliyopo Mtoni Unguja
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...