Wasamaria wema wameweka tairi katika moja ya mitaro mingi ya maji taka ambayo mifuniko yake imeibwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni wadau wa vyuma chakavu ambao baada ya kukwapua mifuniko hiyo huacha shimo lenye kuhatarisha maisha ya wapita njia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2016

    Wahusika wa mitaro katika jiji wafunike chemba ya mtaro tumia simenti badala ya chuma zinazohukjumiwa na wenye kujihusisha na vyuma chakavu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...