Meneja Mradi wa Shirika l nyumba la Taifa NHC Kawe unaokwenda kwa jina la 711 Injinia Samwel Metil akitoa maelezo kwa Timu ya Menejimenti ya NHC wote(Directors, Regional Managers & Line Managers) wakati walipotembelea miradi ya 711 Kawe , Morocco Square, Victoria Place, Eco Residence na Kibada ambapo ambapo pia watafanya pia kazi katiia miradi hiyo Lengo la ziara hiyo ilikuwa ni kuwafahamisha juu ya maendeleo na changamoto za miradi hiyo. 
Mmoja wa Mainjinia wa Mradi wa 711 Kawe Bw.Kishor Hirani akimelezea jambo Meneja mradi Injinia Samwel Metil wakati menejimenti ya shirika hilo ilipotembelea katika mradi huo.
Wakuu wa vitengo mbalimbali na mameneja wa mikoa wakitembelea mradi wa 711 Kawe leo.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2016

    Hongera NHC kwa miradi mikubwa na ya kisasa. Lakini hii miradi ingewashirikisha wataalam wenu ili kupunguza gharama za kuingia mikataba na makampuni binafsi ambayo ninyi wenyewe mnapatana nao na kuweka cha juu chenu. Matokeao yake ni kuwa bei za nyumba zinakuwa kubwa sana.

    Washirikisheni wataalam wenu kwenye hiyo miradi sambamba na hao wataalam wageni ili waweze kushirikiana pamoja kupata elimu ya vitendo kwenye miradi hiyo. Pia wasomesheni wataalam wenu nje waweze kuwa na uwezo kama huo ili muweze kufanya wenyewe kazi hizo.

    Hakuna lisilowezekana, tuna wasomi wazuri tu. Ila mnatumia sana makampuni ya binafsi na ya kigeni kwa faida zenu,empower your workforce to be able to sustain your competitive advantage.

    Ni maoni yangu tu!

    ReplyDelete
  2. Mbona hamjengi wilaya ilala km chanika mvuti na kwingineko? Sio kila kitu kinondoni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...